Haija thibitishwa tukio hili, ila kama nilivyo kutana nalo katiika FB hii leo:
Na Anderew Chale
Ni jambo la aibu lakini ndiyo hivyo. Tunajipa sifa mbaya nje ya nchi yetu@@!!!! Yaaani watu wanaiba hadi Ikulu????
Jana baada ya sherehe za Mapinduzi kutimiza miaka 50, zikaamia Ikulu
kwenye chakula maalum, mara Balozi wa Korea aliyekuwa miongoni mwa
waheshimiwa, wakati anajiweka sawa na simu yake kuweka mezani, 'watu'
wakaipitia pyaaa wakaichukua wakazima fasta!@@ ni aibu aibu kubwa sana.
Balozi wa watu kaanza kutanga za simu yake kama imeibiwa yaani
Smartphone Sumsung ambayo ukiishika tu inasensi ' NIACHE NIACHE' ..
LAKINI WABONGO WAMEICHUKUA sijui ililia mwee?? maana na sie noma?? Hii
Imetokea ndani ya Ikulu ya Zanzibar. SASA NASEMA SI VIZURI NI KUITIA DOA
NCHI YETU. balozi wa watu amelia mpaka kavimba macho.
LIVE KUTOKA ZANZIBAR.- hii mpyaaaaaa haijachuja bado wait sooon kwenye newspaper kesho asubuhi.
0 comments