Kwa mara ya kwanza huenda wanafunzi wa Al-maktoum college of engineering and Technology wakapata matokeo yao ya semister iliyiopita katika website ya chuo ambayo itakuwa hewani mda si mrefu.
Kwa mujibu wa taarifa zilizo ifikia dawati hili ambalo lilitumikia kuwapatia wanafunzi wa Al-Maktoum matokeo yao hapo mwaka jana, zinaelezwa kuwa website ya Al-maktoum ipo katika hatua za mwisho kulekea kuiachia hewani.
Taarifa zilizo tufikia zianeleza kuwa kama zoezi litawahi kukamilika huenda wanafunzi wa Al-maktoum wakapata matokeo yao kupitia website hiyo itakayo tangazwa na chuo katika siku za usoni.
Taarifa hiy ilieleza kuwa zoezi la usaishaji wa mitiahni limekamilika leo na jumatatu kutakuwa na zoezi la upangaji wa matokeo hivyo, matokeo kutarajiwa kutoka siku yoyote kuanzia katikati ya wiki ijayo.

0 comments