Thursday, 6 March 2014

NANI MKALI KATI YA HAWA

By    
Demu na Buzi lake maongezi yalikuwa hivi:-
 BUZI: mpenzi wangu tangu nimekununulia nyumba na gari naona mapenzi yamepungua kabisa!
 DEMU:kwann mpenzi
 BUZI: siku hizi huniambii asante kwa chochote tofauti na zamani
 DEMU: asante nisimpe mganga nikupe wewe! na ubahili uliokua nao bila ya kukuroga ungenipa lini nyumba na gari?
 BUZI: na mimi nisingekuhonga vitu vyote hivi ningekuambukiza UKIMWI saa ngapi?
 Demu hoi,
unadhani nani mkali kati yao? Jibu kaa nalo

0 comments