Friday, 7 March 2014

UJUMBE WA LEO KUTOKA FACEBOOK

By    

Nassor Binslum

Ama kwa hakika Wanaadam tumo katika hasara kubwa. Isipokua kwa wale wamchao ALLAH.Nabii Musa alimuomba ALLAH Yaumul Qiama asituchome ktk Jahannam.ALLAH akamwambia NABII MUSSA lima shamba kwanza.Nabii MUSSA akalima,akapanda, akavuna.Mbegu nzuri akahizifadhi,na magugu akayachoma moto.ALLAH akamuuliza umefanya nini?Nabii MUSSA akasema nimehifadhi mbegu nzuri ndani,na magugu hayana faida nimeyachoma moto.ALLAH akamwambia halikadhalika na mimi siku ya qiama wanaadam wasiokuwa na faida kwangu NITAWACHOMA MOTO."SUB'HANALLAH"Mimi na wewe mbele ya ALLAH, NI MBEGU NZURI AU MAGUGU? HUJACHELEWA MCHE ALLAH.

JUMAA KAREEM

0 comments