Sunday, 12 July 2015

CHINI YA KAPETI: MAGUFULI AWEAFUNIKA AMINA NA ASHA ROSE

Taarifa zilitufikia kutoka chanzo cha kuaminikia Matokeo ya kura za Wagombea kutokana na Mkutano Mkuu ni John Magufuli 87% Amina Salum 10% na Asharose Migiro 3%.

0 comments