Dk. John Pombe Magufuli ametangazwa kuwa mgombea wa urais wa mwaka 2015 kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwamwaga Amina Ally na Asha-Rose Migiro.
Matokeo yaliyo tangazwa na Spika wa Bunge Ana Makinda, Magufuli ameshinda kwa asilimia 87.1, wakati Amina akipata asilimia 10.5 na Asha-rose akifanikiwa kupata asilimia 2.4.
0 comments