Monday, 27 July 2015

LOWASA AKARIBISWA RASMI UKAWA

By    
Umoja wa Katiba ya Wananchi Ukawa leo wametangaza kumkaribisha aliyekuwa waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa kujiunga nao katika kuelekea Uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba.

0 comments