Friday, 7 August 2015

MAZUA SMART SHAVERS YAJA NA MUONEKANO MPYA

By    
IMG_1410
Muonekano mpya wa nje wa MAZUA Smart Shavers iliyopo maeneo ya KIBAMBA HOSPITAL (stand ya mabasi).
Haya sasa kwa wakazi wa UBUNGO,,,,,,,KIMARA,,,,,,,MBEZI LUIS,,,,,,,,KIBAMBA,,,,,,,,,,KIBAHA na maeneo mengine yoote ya jiji la Dar es Salaam....sasa hakuna haja tena ya kuhangaika na foleni kwenda mjini kunyolewa ama KUPAMBA MAHARUSI wa kiume, Sasa mmesogezewa huduma nyumbani......ni MAZUA SMART SHAVERS✔️ iliyokuja na muonekano mpya inapatikana eneo la KIBAMBA HOSPITAL (stand ya mabasi) ukiwa unatoka mjini ni mkono wako wa kushoto na kwa wanaotoka Kibaha ni mkono wa kulia ng'ambo ya barabara.
MAZUA SMART SHAVERS✔️ndio wadau wa kwanza kwa Dar es salaam na Tanzania nzima kwa ujumla, kuwekeza mamilioni ya pesa kwa ajili ya kujali afya na vichwa vya wateja wao.
Tembelea MAZUA SMART SHAVERS upate huduma tofauti kwa bei ya kawaida kabisa kutoka kwa vijana nadhifu pamoja na warembo maridadi.....Pia kuna chumba cha VIP kwa wateja.
WOTE MNAKARIBISHWA KUPATA HUDUMA ILIYOBORA NA YENYE VIWANGO VYA KIMATAIFA.
IMG_1379
Muonekano mpya wa ndani wa MAZUA Smart Shavers baada ya ukarabati wa hali ya juu.
IMG_1390
Kiti maalum cha kunyolea kwa ajili ya watoto, ambapo ukimweka hapo anasahau kama ananyolewa.
IMG_1463
Pichani juu na chini Kinyozi wa MAZUA Smart Shavers akitoa huduma kwa mteja, huku mteja wake akiendelea kuchat kwenye nguo maalum inayomwezesha kufanya hivyo bila simu yake kuingia nywele.
IMG_1470
IMG_1494
Mteja mwingine akichat huku Kinyozi akiendelea kufanya ukarabati kwa mteja.
IMG_1510
Mteja akiwa ndani ya chumba cha VIP ndani ya MAZUA Smart Shavers akisubiri kupewa huduma ya Facial kwa kutumia mashine maalum inayotoa mvuke.
IMG_1525
Wadada warembo wakitoa huduma ya Facial kwa kutumia mvuke wa mashine maalum ndani ya MAZUA Smart Shavers.
IMG_1516
Mteja akiendelea kupatiwa huduma ya Facial inayosaidia kulainisha ngozi ya uso, kuzibua vitundu vilivyoziba vya kupitisha hewa usoni na kuondoa mafuta yasiyohitajika ambayo yakiwa mengi yanasababisha chunusi usoni.
Huduma wanazotoa MAZUA Smart Shavers ni Facial Scrub, Wave, Magic, Black Dye, Pedicure na n.k
IMG_1425
MAZUA Smart Shavers ina parking iliyosalama na uhakika kama inavyoonekana pichani.
IMG_1571
Muonekano wa MAZUA Smart Shavers nyakati za usiku.

0 comments