Wednesday, 27 January 2016

PATO KUTUA LONDON KUKAMILISHA DEAL LA KUJIUNGA NA CHELSEA

Mshambuliaji toka nchini Brazili aliyewahi kukipiga AC Milan ya Italia Alexandre Pato anatarajiwa kutua jijini Londan hii leo kukamilisha taratibu za usajili kwa mkopo katika klabu ya Chelsea.

Pato anawasili leo jijini Londan baada ya kusafiri kwa masaa 11 na nusu kutoka uwanja wa ndege wa kimataifa wa  Guarulhos.

Chelsea wamepanaga kukamilisha usajili wa nyota huyo wazamani wa AC Milan wiki hii ili aweze kutumika katika mchezo wa FA utakaochezwa siku ya jumapili wiki hii. MK Dons on Sunday afternoon.

0 comments