Thursday, 28 January 2016

SERENA WILLIAMS ATINGA FAINAL AUSTALIAN OPEN

By    

Mcheza tenesi namba 1 kwa ubora dunia kwa upande wa wanawake Serena Williams amefanikiwa kuingia hatua ya Fainali ya Australian Open baada ya kumfunga mpoland Agnieszka Radwanska kwa seti 6-0,6-4 katika mchezo wa nusu fainali uliopigwa leo huko Melbourne.

Hii ni mara 7 bingwa huyo mara 6 wa kombe hilo kuingia hatua ya fainali na sasa katika hatua hiyo atacheza dhidi ya mshindi kati ya Angelique Kerber na Johanna Konta.

Mechi ya fainali ya michuano hiyo itapigwa jumamosi hii Melbourne Park na Serena ndiye mtetezi wa kombe hilo.

0 comments