Monday, 15 February 2016

HOYCE TEMU AZUNGUMZA KUHUSU KUANDIKWA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII

By    
IMG_2143
Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu ametoa hisia zake kuhusu kuandikwa katika mitandao ya kijamii kupitia kipindi cha Power Breakfast kinachorushwa na Clouds Fm.
Unaweza kumsikiliza hapa chini wakati akizungumzia jambo hilo;

0 comments