Monday, 1 February 2016

TERRY ATANGAZA KUIKACA CELSEA MWISONI MWA MSIMU

By    

Nahodha wa Chelsea John Terry ametangaze kuondoka katika kikosi cha Chelsea mwishoni mwa msimu huu.

Terry amesema kuwa hatarajii kuongeza mkataba baada ya kwisha msimu huu, na ataondoka klabuni hapo, hku akisisitiza kuwa anataka kucheza katika klabu nyingine nnje ya Chelsea.

Nahodha huyo wa Chelsea alisistiza kuwa hato jiunga na timu yoyote ya ligi kuu ya England na badala yake ataenda kuceza soka nnje ya England.

0 comments