Friday, 18 March 2016

BARCELONA NA ATLETICO, PSG NA MAN CITY ROBO FAINALI UEFA

Mshipa alioushinda Chelsea PSG wamepewa Manchester City katika hatua ya robo fainali ya klabu bingwa Ulaya katika ratiba iliyopangwa hii leo.

PSG iliyoondoshja Chelsea katika hatua ya 16 bora na kufanikiwa kutinga hatua hiyo ya robo fainali ambapo wamepangwa kucheza na Man City.

Barcelona wao wamepangwa na Atletico madrid, huku, Bayern Munichen wakipngwa na Benfica na Wolsburg wakipanga na Real Madrid.

Michezo hiyo ya robo fainali mchezo wa kwanza utapigwa aprili 5 na 6, kabla ya kurejeana april 12 na 13 mwaka huu.

0 comments