Al-Maktoum College of Engineering and Technology (AMCET) Mbezi beach, inatangaza nafasi za masomo katika kozi za umeme, electronics na computer ngazi ya cheti na diploma. Mwombaji wa cheti awe ana 'D' 4 form 4, ufaulu wa Math lazima.
Diploma awe na 'D'1 na 'S'1 form 6. Ada cheti 650,000, diploma 750,000. Maombi kupitia NACTE www.nacte.go.tz.
Mwisho 05/08/2016. Hostel zipo, na program za jioni kwa waajiriwa zipo. 0713220304/0752592504
0 comments