Friday, 22 March 2013

WAFUASI WA PONDA WAPEWA MIAKA MITATU

Wafuasi wa Sheikh Ponda, walioandamana kwenda kwenye Ofisi za
Mkurugenzi wa mashitaka (DPPO) kwa ajili ya kushinikiza Ponda apewe
dhamana wakiwa kwenye chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu
jijini Dar es Salaam.

Watuhumiwa hao wapatao 52, jana wamehukumiwa
kifungo cha miaka mitatu jela kila mmoja


source: audifacejackson.blogspot.com


--

MSUNI COMPUTER SOLUTION (Tunarejesha uhai wa computer)
www.aboodmsuni21.blogspot.com/p/msuni-computer-solution_7934.html

0 comments