Endapo watu wange angaikia ibada kama wanavyoangaikia pesa, waka ogopa moto kama wanavyo ogopa shoti ya umeme.
Wakaiheshimu QU-RAN kama wanavyoheshimu katiba ya nchi, wakamtambua MTUME (s.a.w) kama wanavyomtambua Rasi, wakawathamini MASWAHABA, MASHEKHE na MAIMAMU kama wanavyo wathamini MABOSI na WAPENZI wao.
WAKATOA SADAKA kama wanavyotoa RUSHWA, wakajitolea kukesha kwenye IBADA kama wanavyojitolea kukesha katika NGOMA, BAR, POOL TABLE, DISCO na MATAMASHA YA MUSIC!!
ewe Muislam mwenzangu zinduka kutokana na usingizi huu.
--
MSUNI COMPUTER SOLUTION (Tunarejesha uhai wa computer)
www.aboodmsuni21.blogspot.com/p/msuni-computer-solution_7934.html
0 comments