Tuesday, 9 April 2013

ZINAA NA UKIMWI

Abdul Kitiku, facebook

USIACHE ZINAA KWA SABABU KUNA UKIMWI HIYO ITAKUWA NI SHIRIKI!!! ACHA ZINAA KWA SABABU ALLAH (S.W) AMEKATAZA,

KUFANYA HIVYO UTAKUWA UMEFUATA MAAGIZO YA ALLAH (S.W) NA UJIRA WAKO UTAUKUTA MBELE YA ALLAH (S.W).

TUBADILIKE IN SHAA ALLAH


--

MSUNI COMPUTER SOLUTION (Tunarejesha uhai wa computer)
www.aboodmsuni21.blogspot.com/p/msuni-computer-solution_7934.html

0 comments