Saturday, 1 June 2013

DONDOOV AN-NUR LA MEI 31

Dondoo muhimu katika gazeti la An-nur lililo toka jana ijumaa (mei 31)

1.Ni Diamond Jumapili
- Ya NECTA, propaganda kujadiliwa
- Bakwata, Jumuiya waikabili Serikali
- Wahoji USIRI, kuita Wakristo pekee
2. Hali ya Sheikh Ilunga, India kuelezwa


3. Mamlaka kamili ndiyo malengo ya mapinduzi
- Asema Maalim Seif na kushauri…
- Wanaotaka ‘kupumua’ wasipuuzwe
- Moyo ataka Z’bar iwe na Uraia wake


4. Mtanzania mahakamani kusingizia Waislam ugaidi


5. Tahariri: Huu ndio ‘Mfumokristo’


6. AU wamesema kweli
- ICC imepoteza dira na uhalali wake
- Raia tu wa USA hawezi kusimama ICC
- ICC Ikithubutu Uholanzi inavamiwa
- Chomsky aeleza ugaidi wa Bush, Blair


7. Mgeni njoo mwenyeji apone
- Tutumie vyema ujio wa Rais Obama


8. Bora ujirani mwema kuliko udugu wa ukhasama


9. Hatari ya kuchafuka amani nchini:
- Serikali yatwishwa lawama


10. Mchawi ghasia Mtwara ni Serikali yenyewe, CCM

0 comments