Friday, 31 May 2013

ASILIMIA 83 WAPETA KIDATO CHA SITA

Matokeo ya kidato cha sita yametangazwa hii leo ambapo asilimia 83 ya waliofanya mtihani huo wa kidato cha 6 wamefaulu. Wakati wanafunzi 89 matokeo yao yamezuiliwa kwa sababu mbali mbali.

Shule ya kwanza iliyoongoza ni Marian Girls ya mkoani Pwani na ya pili ni Mzumbe ya Morogoro.

 Mwanafunzi wa kwanza wa kiume kwa sayansi ni Erasmi Inyase kutoka Ilboru, na kwa wasichana ni Lucylight wa Marian girls.

Upande wa masomo ya Biashara mwanafunzi wa 1 ametoka shule ya Tusiime anaitwa Erick Robert.

0 comments