Saturday, 27 April 2013

Tangazo la msiba kutoka Marekani

Kama tulitumiwa toka New Jersey, USA.

Watanzania wanaoishi New Jersey na New York City. Wanasikitika kutangaza kifo cha mtanzania mwenzao Adolph aka Brian aka Thadeo Lwakajende kilichotokea tarehe 24 mwezi wa 4, 2011 hapa New Jersey, USA.

Mipango ya kusafirisha mwili wa marehemu inaendelea huko New Jersey. Ili kufanikisha mipango hiyo wanawaomba watanzania wote popote pale walipo wajiunge nao kusaidia kuchangisha hela za shughuli hiyo.

Unaweza kutuma hela kwa kutumia paypal adolffuneralcost@gmail.com au katika site hii ya Adolf sending home fund http://dt.tl/adolfsendhomecost.

Kwa mawasiliano ya shughuli hizi wasiliana na
Peter Luangisa (917) 681-6971

Rashidi Kamugisha (973) 703-4596

Bernard Kivugo (973) 580-7166

William Vedasto (973) 551-2916

Tunatanguliza shukurani zetu za dhati.

Thanks

0 comments