Thursday, 25 April 2013

NAFASI ZA MASOMO NDANI YA AMCET

Chuo cha Al-maktoum College Of Engineering and Technology (AMCET) kinatangaza nafasi za masomo ya cetificate na diploma kwa mwaka wa masomo wa 2013/14.

Chuo hicho kilichopo Mbezi beach jijini Dar es salaam kinatoa diploma na cetificate katika fani za Electrical Engineering, Electronic Engineering na Information Technology.

Fomu za kujiunga na chuo hicho chenye miaka mitatu toka kianze kutoa huduma hiyo ya elimu zanatolewa chuoni hapo, ambapo muombaji anatakiwa awe na D tatu, ama awe ametoka katika vyuo vinavyo tambulika na NACTE.

Kwa maelezo zaidi waweza wasiliana na msajili katika namba ya 0752592504.

0 comments