Saturday, 10 October 2015

KUTOKA FB: MAZUNGUMZO YA MUME NA MKE


MUME: Kiwango gani unanipenda baby?
MKE; Zaidi ya unavyofkiria
MUME:Hebu nielezee basi
MKE; Mimi ni simu na wewe ni line, bila ya line simu haiwezi fanya kazi yoyote hivyo bila ya wewe sina kazi
MUME; Oh honey I love U!
MKE: (Kimoyo moyo) "Ahsante Mungu, hili kweli jinga halijui kama simu za kichina zinaingia hadi line 4. cku njema

0 comments