UZINDUZI: Kwa nini dada zetu wengi hupiga kelele kwamba vijana hawa owi miaka hii?
Jibu ni kuwa nyinyi dada zetu ndio sababu kuu ya vijana kuto kuowa, 1-pindi wewe utapo kuwa tayari kumpa mwili wako kabla ya ndowa wategemea kupata nini badae ndowa au?
Nyongeza toka kwa Abdul Pembe:
Mahali pia inachangia wazazi wetu siku hizi wametoka kabisa katika mafundisho ya dini kidunia zaidi wamesahau mafundisho ya Mtume matokeo yake mabint wanashindwa kuolewa.
0 comments