Thursday, 23 May 2013

Mtwara mabmo bado

habari ambazo sio rasmi ambazo blog hii imezipata kutoka kwa ripota wetu aliyepo mtwara hadi sasa ni askari sita wa jeshi la polisi wameuawa katika vurugu zinazoendelea,tumejaribu kufanya mawasiliano na kamanda wa polis mkoa wa mtwara hapatikani,ila tutaendelea kuwajuza zaidi juu ya hilo. kwa mujibu wa ripota wtu hali bado tete katika mji wa mtwara
- Maduka maeneo ya Magomeni yamechomwa moto ikiwamo pia mali za Askari magereza na uhalifu ukifanyika vidole vinawaelekea Polisi. PIA KATIKA MATUKIO  MENGINE
- Mwanafunzi wa CHUNO afikishwa hospitali Ligula na majeraha ya risasi mguuni.
- Mwanamke anayekadiriwa miaka 25 mjamzito auawa kwa kupigwa risasi maiti ipo Ligula.
Yanayojiri Mtwara - Leo, Mei 23, 2013:

- Maduka maeneo ya Magomeni yamechomwa moto ikiwamo pia mali za Askari magereza na uhalifu ukifanyika vidole vinawaelekea Polisi.
- Mwanafunzi wa CHUNO afikishwa hospitali Ligula na majeraha ya risasi mguuni. 
- Mwanamke anayekadiriwa miaka 25 mjamzito auawa kwa kupigwa risasi maiti ipo Ligula. 

Endelea kufuatilia hapa kwa updates zaidi -> http://j.mp/Z2wSsc


0 comments