Thursday, 23 May 2013

WAZEE WA FB; JAMAA KAOKOTO WALETI KWENYE DALADALA

Na Masanja Mkandamizaji, facebook

Jamaa kaokota wallet kwenye daladala baada ya kufika home kuna kipindi kwenye Redio "Laugh & Music" cha Masanja Mkandamizaji kiko kinaendelea. Akapiga simu:
Halooooo, my name is Juma naishi Kipawa nimepiga simu kusema kwamba nimeokota wallet ndani ina shilingi laki saba, ATM card na kikaratasi chenye PIN ya ATM card na kijimkufu cha dhahabu.

Mtangazaji akamuuliza: Asante sana, kwa hiyo ungependa kumrudishia mwenyewe kama anakusikiliza muda huu?
Juma: Hapana, ninapenda kumuombea dedication wimbo wa R. Kelly "You Saved Me" umfikie popote pale ulipo na Mungu amzidishie

0 comments