Thursday, 30 May 2013

UCHIZI WA MAISHA NA MAMBO YAKE KUMI


Na Dan Chibo, Facebook:
1. Unachokihitaji hukipati (MAPENZI)
2. Unachokipata hukifurahii (NDOA)
3. Kinachofurahisha hakidumu (BOY/GIRL FIREND)
4. Kinachodumu kinakera (MUME/MKE)
5. Chenye thamani kinadhalilisha (FEDHA)
6. Kinachodhalilisha kinapendwa (ZINAA)
7. Kinachoogopwa hakina maandalizi (KIFO)
8. Kinachoandaliwa hakiendelei (UHAI)
9. Vya kuzingatiwa havizingatiwi (QUR'AN & BIBLIA)
10. Vinavyofuatwa havina maana (SIASA) Kwa nini inakuwa hivi?

Hebbu tujiulize na Chukua Hatua...!

0 comments