Edo Kumwembe
.....Unatazama hizo sherehe? Leo Shein ni bosi wa JK hapo...protocol inaonyesha anaingia fulani kisha fulani, kisha fulani...kisha anaingia JK....kisha anaingia Dk Shein mwisho kama bosi...anapunga mikono... tehe tehe tehe Muungano wetu bwana..hata kuondoka Shein ni wa kwanza hapo....lakini Zanzibar ipo ndani ya Tanzania na rais wa Tanzania ni JK. siku hizi katika Civics mnafundishwaje kuhusu Muungano?

0 comments