Jumuiya
na Taasisi za Kiislamu nchini Tanzania, wameandaa kongamano kubwa ili
kumshinikiza, Rais Jakaya Kikwete amfukuze kazi,Waziri Lukuvi katika
nafasi hiyo,kwa kile wanachokidai analigawa Taifa kidini na kuleta
machafuko baina ya Waislamu na Wakristo wa nchi hiyo.
Kauli ya uchochezi na kuligawa Taifa kidini aliyoitoa kanisa, Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri mkuu(sera,uratibu na Bunge) William Lukuvi.
Hayo yalisemwa jana na Msemaji wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini Tanzania Rajabu Katimba wakati wa mkutano na Waandishi wa Habari,ambapo alisema wamefikia maamuzi hayo kuandaa kongamano hilo kutokana na kauli ya kichochezi aliyoitoa waziri huyo.
“Sisi hatukutalajia Waziri mwenye mamlaka makubwa na aliyeaminiwa na Rais na kumwakilisha waziri mkuu kutamka kauli chafu na za uchochezi tena kanisani dhidi ya waislamu nataasisi ya kiislamu iliyosajiliwa kihalali”
“kauli hizi zina nia ya kuletea chuki,kuwatia woga wananchi na hatimaye kuchafua Amani ya nchi na Tumeandaa kuongamano hili kumshinikiza Rais amwajibishe waziri Lukuvi”Alisema Katimba
Katimba,alizidi kusema wao wanashangaa kimya cha Serikali kumwacha waziri huyo akifanya uchochezi na kuligawa taifa.
“Tunashangaa mpaka sasa viongozi wa Serikali wamekaa kimya na kumwacha Waziri lukuvi akifanya uchochezi,Je maneno yaliyotamkwa na Sheikh Ponda isa Ponda kuhusu mfumo wa Kristo dhidi ya Waislamu yanalingana na haya mh Lukuvi ya chuki na uchochezi”
“Kwa mwenendo huo wa Mh Lukuvi,kwa nini Waislamu na wapenda Amani wote tusiamini kuwa kuna mpango wa Siri kuongamiza Viongozi wa Kiislamu na kuhalalisha mauaji hayo kwa Propaganda na Uchochezi wa Mh Lukuvi?”alihoji Katimba
Kitimba,aliwataka viongozi wa Dini zote kuungana na Kujitokeza kwenye Kongamano la Amani la litakalofanyika tarehe 27 mwezi huu kwenye Makao makuu ya Taasisi hiyo iliyopo Kinondoni Jijini Dar Es Salaam ili Kumshinikiza Rais Jakaya Kikwete amwajibishe Waziri Lukuvi.
Ikumbukwe kauli hiyo ya uchochezi aliitoa Waziri Lukuvi alipokuwa anamwakilisha Waziri Mkuu wa Tanzania, kwenye kanisa la Methodist jimbo la Dodomo wakati wa Sherehe za kumtawaza mchungaji Joseph Bundala kuwa Askofu, ambapo Waziri lukuvi alitamka wazi wazi kwamba mfumo wa Serikali Tatu zikipita eti nchi haitotawalika na kuchukiliwa na Jeshi na vilevile makanisa yote nchini yatafungwa na kwamba nchi itakosa Amani.
Lukuvi ambaye ni mbunge wa jimbo la Isimani mkoani Iringa kupitia Chama cha Mapinduzi CCM,alizidi kuongeza kwamba Wanzazibari wanataka kujitenga hili kujitangazia nchi yao iwe nchi Kiislamu kwa kutumia Sheria za Kiislamu.

0 comments