Kesho mtendaji mkuu wa Aboodmsuni Network atakuwa katika uwanja wa TCC Changombe kushiriki kwenye tamasha la Kandanda Day, ambapo kutahitimishwa kwa mchezo kati ya team Ismail dhidi ya team Dizo.
Kama mwana kandanda tukutane TCC Chang'ombe na kiingilio ni jezi yako.
0 comments