Sunday, 31 January 2016

ANDY MURRAY APOTEZA KWA DJOKOVIC

Mcheza Tenesi namba 1 dunia Novak Djokovic amefanikiwa kuchukuwa taji la Australian Open baada ya kumchapa Muingeleza Andy Murray katika mchezo wa fainali, na kumfanya Murray kufikisha fainali 5 za mashindano hayo ambazo amepoteza.

Novak Djokovic alifanikiwa kumfunga Murray katika set ya kwanza kwa 6-1, na katika set ya pili kuendelea kuongoza kwa 7-5 kabla ya kumpoteza mpinzania wake katika set ya tatu kwa 7-3.

Ushindi huo wa Djokovic unamfanya afikishe taji la 6 la Austarlian Open baada ya leo kumshinda Andy Murray 6-1, 7-5, 7-6.

0 comments