Msimamizi wa Ofisi ya Mfuko wa
Bima ya Taifa Mkoani Tanga (NHIF) Dinna Mlwilo kushoto akitoa elimu ya
umuhimu wa kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ili kuweza
kunufaika na huduma zinazo tolewa nao kwa wananchi walilitembelea banda
lao wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya kimataifa ya tano yanayofanyika
kwenye viwanja vya Mwahako Jijini Tanga
Msimamizi wa Ofisi ya
Mfuko wa Bima ya Taifa Mkoani
Tanga (NHIF) Dinna Mlwilo kushoto akitoa elimu ya umuhimu wa kujiunga
na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ili kuweza kunufaika na huduma zinazo
tolewa nao kwa wananchi walilitembelea banda lao wakati wa ufunguzi wa
maonyesho ya kimataifa ya tano yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwahako
Jijini Tanga
Wananchi wakipima presha
kwenye banda hilo wakati wa ufunguzi wa maonyesho hayo
Afisa
kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Sophia
kushoto akisubiri kujeza fomu za wananchi ambao wanakwenda kupima uzito
na afya kwenye Banda lao ambapo wanatoa elimu namna ya kujiunga na mfuko
huo,kupima afya
habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga
Raha
0 comments