Sunday, 2 June 2013

CCM ZANZIBAR WATOA TAMKO JUU YALIYO SEMWA KATIKA MKUTANO WA CUF VSIWANI HUMO

Na Ally Mohammed, Zanzibar, facebook

CHAMA CHA MAPINDUZI CCM, VISIWANI ZANZIBAR KIMETOA TAMKO ZITO KWA MAKAMO WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR, MAALI SEIF SHARIFF HAMAD KUFUATIA MKUTANO WA HADHARA WA JANA WA CUF, NAIBU KATIBU MKUU WA CCM VISIWANI ZANIBAR, AMESEMA MAALI SEIF ANATAKIWA AJIREKEBISHE NA KAULI ZAKE PIA IMESEMA MAALIM SEIF NI MFITINISHAJI, MCHOCHEZI NA HANA SIFA YA KUWEMO KATIKA SERIKALI!

0 comments