Madaktari wa dunia wametahadharisha kuua mbu akiwa mwilini mwako au kwa mwingine,na hii ni baada ya kufanya utafiti na kugundua kwamba:kumuua mbu aliye mwilini kunaweza kusababisha maradhi ya kuambukiza yanayotokana na mbu huyo nahii ni kutokana na mate(udenda) ya mbu ambayo yanaweza kusababisha maradhi ambayo yanaweza kusababisha kifo kwa mwana adam.
Madaktari hao wametoa tahadhari kali kutoka na tendo la kumuua mbu alie mwilini.
0 comments