
Kwa mara ya kwanza siku ya jumamosi juni 20 katika viwanja vya Al-maktoum college of engineering and technology (AMCET) kutakuwa na mashindano ya Qur-ani yatakayo husisha wanafunzi wa chuo hicho.
Katika mashindano hayo ambapo washiriki 10 watashindana katika juzuu 1,3 na 5, ambapo yanataraji kuanza saa mbili asubuhi katika eneo la AMCET lililopo Tangi bovu, Mbezi beach jijini Dar es salaam.
0 comments