Thursday, 16 July 2015

IDDI AZZAN ACHUKUWA FOMU KUTETEA KITI CHAKE, PIJEI ASAKA JIMBO LA KAWE

By    
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni anayemaliza muda wake, Mhe. Idd Azzan, akionesha fomu ya kuomba kuwania tena ubunge wa Jimbo la Kinondoni aliyokabidhiwa jana jijini Dar es Salaam, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Kada wa Chama Cha Mapinduzi, Mwenyekiti wa Kamati ya Mahusiano ya Jamii UVCCM Dar es Salaam na Kamanda mstaafu wa wa UVCCM Wilaya ya Kinondoni, na Wakili wa Mahakama kuu, Jumaa Mhina 'Pijei' akikabidhiwa fomu ya kuomba kuwania Ubunge Jimbo la Kawe,jana jijini Dar es Salaam kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Pijei amejipanga kulikomboa jimbo hilo lililo mikononi mwa wapinzani wao.

0 comments