Mammlaka ya mawasiliano nchini TCRA wamesema kuwa machi 31 wanataraji kuzima mitambo ya analojia mkoani Arusha na wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro ikiwa katika mpango wa kuhamia dijitali nchi nzima iliyoanza december 31.
Mikoa ambayo teyari analojia imeshazimwa ni Tanga na Dodoma ilizimwa januari 31, Mwanza ilizimwa february 28 na mwishoni mwa mwezi ujao (april 30) itazimwa Mbeya.
Kwa mujibu wa TCRA wananchi wanazidi kuamka katika ununuzi wa vingangamuzi vinavyosaidia umasaji wa matangazo ya Dijitali.
--
MSUNI COMPUTER SOLUTION (Tunarejesha uhai wa computer)
www.aboodmsuni21.blogspot.com/p/msuni-computer-solution_7934.html
0 comments