Thursday, 6 June 2013

DOGO APATA MKE KUPITIA SWALI LA MWALIMU

Mwalimu: Dixon je ungependa kuwa nani ukiwa mkubwa?

Dixon: Ninapenda kuwa tajiri mkubwa ni miliki magari na majumba ya kifahari, halafu naoa na kumpangishia mke wangu hoteli Paris, namnunulia magari ya kifahari na kumpeleka kila anapotaka.

Mwalimu: akageuka upande wa pili "eeeh na wewe Dorin unapenda kuwa nani baadae":

Dorin: Nataka kuwa mke wa Doxin.

Mwalimu: Hoi

Chezea watoto wa Dijitali

0 comments