Saturday, 8 June 2013

YALIYOMO KWENYE ANNUR YA JUNI 7

Dondoo muhimu kutoka Annur (sauti ya waislam):

1. Msiba mkubwa: Dini Mseto yaja
- Waislam, Wakristo kufundishwa dini moja
- Ni Heri Zanzibar watakuwa na nchi yao
- Bukoba kuna nini? Bakwata walitoka huko


2. Zanzibar walilia Benki Kuu, Uraia
- Wasiotaka Dola kamili wajitokeze
- Mgombea Urais asitokee Dodoma
- Wakumbusha ya ‘Kura za Karume’


3. Vita kubwa ipo mbele
- Ni vita ya kuondoa dhulma, ubaguzi
- Bila kung’oa ‘MFUMO’ hakuna salama


4 MAONI YETU
- Kama hizi ndio ‘First Class’ zetu nchi haiendi kokote


5. MAPENDEKEZO YA KAMATI YA MARIDHIANO ZANZIBAR KUHUSU
UPI UWE MWELEKEO WA WAZANZIBARI KATIKA KUIJADILI
RASIMU YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
ITAKAYOTOLEWA NA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA


6. MAKALA - Polisi kichaka cha uhalifu?


7. MAKALA - Ya akina Bush, Clinton yasijirudie kwa Obama


8. MAKALA - Wakristo na Waislam: Panapotokea vita majeruhi wa kwanza ni ukweli


9. MAKALA - Hatari ya kuharakisha ‘kulaani’ matukio ya ugaid


10. Hakuna Mahakama ya Kadhi-Tume



0 comments