Monday, 10 March 2014

ARSENAL KUWAKABILI WIGAN NUSU KOMBE LA FA

 
Droo ya Nusu Fainali ya FA CUP imefanyika hapo jana , Mabingwa Watetezi, Wigan Athletic watacheza na Arsenal huku Hull City wakicheza na Sheffield United. Mechi hizo za Nusu Fainali zitachezwa wikiendi ya Aprili 12 na 13 Uwanjani Wembley.
Wembley tunaenda: Hull City wakishangilia Ushindi wao baada ya bao za Matty Fryatt , David Meyler na George Boyd dhidi ya Sunderland. Hull City waliinyuka bao 3-0 timu ya Sunderland
Wachezaji wa Sheffield United wakishangilia baada ya kuifunga Charlton bao 2-0 na kutinga Nusu fainali ya FA Cup na watacheza Wembley mwezi ujao wa nne.

RATIBA: FA CUP, NUSU FAINALI.
Hull City vs Sheffield United 
Jumamosi, April 12, Wembley
Wigan Athletic vs Arsenal

Jumapili, April 13, Wembley


FAINALI: Jumamosi Mei 17

0 comments