Mtandao wako wa habari www.modewjiblog.com unaomba radhi wa wasomaji wake kwa kutokuwa hewani kutokana na matatizo ya kiufundi yaliyojitokeza siku ya Jumamosi ambayo yameshughulikiwa na wataalamu wetu.
Kwa hivyo tunapenda kuwapa taarifa kuwa mtandao wetu umerudi hewani katika hali yake ya kawaida.
Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza husani kwa wasomaji wetu pamoja na wadhamini wetu BancABC, East Coast Oils and Fats Ltd, MeTL AGRO, Dar Insights, Wanawake Live pamoja MeTL Group.
Endelea kuperuzi www.modewjiblog.com kwa updates za kila siku.
Usikose kutembelea Page yetu ya facebook na ku-like https://www.facebook.com/dewjiblog
Asanteni kwa uvumilivu wenu.
Operations Manager
MOblog.
0 comments