Kipa wazamani wa Barcelona Victor Valdes ameshindwa kujiunga na klabu ya Monaco ya Ufaransa baada ya kushindwa katika vipimo vya afya. Makamu wa rais wa Monaco Vadim Vasyliev amesema: "Ameumia na hatoweza kuja hapa."
Valdes alipata jeraha kubwa la goti baada ya kutangaza kuwa msimu wa 2013/14 ni wa mwisho kuichezea Barca, baada ya miaka 12 ya kuitumikia klabu hiyp ya Hispania.
0 comments