
Al-maktoum College of Engineering and Technology (AMCET) kinatarajia kufanya mahafali yake ya kwanza hapo kesho november 22 mwaka huu kwa wahitimu wake wa ngazi ya diploma na cheti.
Mgeni rasimi katika mahafali hayo ya kwanza ya AMCET yatakayo fanyika chuoni AMCET anatarajiwa kuwa waziri wa elimu, mheshimiwa Shukuru Kawambwa.
AMCET kimetoa toleo la kwanza kwa wanafunzi wa diploma mwaka huu, huku kwa ngazi ya cheti wametoa matoleo manne na wanataraji mwaka 2017 kutoa toleo la kwanza kwa ngazi ya bachelor degree.
![]() |
Mgeni rasmi wa mahafali ya kwanza ya AMCET |
Toleo la kwanza kwa ngazi ya diploma wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kucheza mechi ya kuagana ikiwa ni kabla ya mtihani ya mwisho |
Katika mahafali hayo ya kwanza wanafunzi wote waliohitimu kwa awamu nne ngazi ya cheti watakabithiwa vyeti vyao sambamba na toleo la kwanza la diploma hiyo kesho.
![]() |
MSUNI NAE NI MIONGONI MWA WATAKAO POKEA CHETI CHA DIPLOMA HAPO KESHO |
0 comments