
Mwalimu alitaka kupima wanafunzi wake wanajiamini kiasi gani akasema "wanaodhani kuwa wao ni wajinga wasimame" kwa mshangao mwalimu akamuona mwanafunzi mmoja akisimama, hakutegemea jambo hilo hivyo akamuuliza kwanini amesimama na mwanafunzi akajibu "nimeamua kukuunga mkono, acha na mm nicmame angalau tuwe wawili"a
0 comments