Monday, 20 July 2015

FIFA YATANGAZA MWEZI WA MRITHI WA BLATTER

By    
Shirikisho la soka duniani FIFA limetangaza tarehe ya uchaguzi wa raisi wa shirikisho la soka duniani FIFA kutithi nafasi ya Sepp Blater aliyejiuzuru miezi ya hivi karibuni.

FIFA imesema kuwa uchaguzi utafanyika tarehe 26 mwezi wa pili mwakani.

0 comments