Miongoni mwa nchi za kiarabu ambazo zimeungana na Tanzania leo katika ibada ya Sala ya Idi ni Morocco na Falme za Oman.
Sherehe za idi husheherekewa kila waumini wa dini ya kiisalam wamalizapo funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Mwezi wa Ramadhani ni kama miezi mengine ya hijri kwa idadi ya masiku yake amboyo ni 29 au 30 endapo mwaandamo wa mwezi haujaonekana mji husika au miji ya jirani yake.
0 comments