Assalam aleykum Warahmatullah Wabarakatuh.
AL-MAKTOUM COLLEGE OF ENGINEERING &TECHNOLOGY (AMCET)-DSM, wanatangaza nafasi za masomo kwa wahitimu wa kidato cha nne/elimu ya ufundi. Kozi zilizopo ni pamoja na ELECTRICAL ENG, INFORMATION SYSTEM&NETWORK TECHNOLOGY, ELECTRONIC&TELECOM ENG, ELECTRICAL&ELECTRONIC ENG.
Vigezo vya chini ni alama ya 'D' 3 kwenye math, engl, geo, phy, chem/bio. Ada ni 650,000/- Program za veta nazo zipo.
Mawasiliano zaidi piga 0713220304/0752592504.
www.almaktoum.ac.tz
Imetolewa na Msajili, Jannat I Sulayman
0 comments