Sunday, 12 July 2015

SAMIAH HASAN SULUHU NDIE MGOMBEA MWENZA WA Dr MAGUFULI

By    

Dr John Magufuli amemtangaza muheshimiwa Samiha Suluhu Hassan kuwa mgombea mwenza kupitia chama cha mapinduzi.

Kama CCM watafanikiwa kukitetea kiti cha uraisi kwa mara ya kwanza Makamu wa raisi wa Tanzania atakuwa Mwanamke.

0 comments