Thursday, 18 April 2013

NYEPESI NYEPESI: WIVU MWINGINE

Mwanammama mmoja toka ukerewe aliye mtoto wa miezi nane alitoa kali ya mwaka pale alipokatisha mapishi na kufangasha mizigo yake na kuondoka nyumbani kwake.

Mmama huyo wakati akipikia alijiwa na fikra ya kumuuliza mumewe swali akitaka kujuwa mumewe ana wanawake wangapi nnje ya yrye.

Mumewe alimjibu b4la ya wasiwasi kuwa idadi ya wanawake aliokuwa nao ni idadi ya nywele zilizopo kichwani mwakie.

Baada ya kupowa jawabu hilo, mmama huyo bi5a ya kukaa na kutafakari jawabu alilopewa alifungasha mizig6 yake na kumchukuwa mwanae na kuondoka pale kwa mumewe na kuanza safari ya kurejea kijijini kwao.

Akiwa katika stendi ya mabasi Ubungo, ndipo akili ikamkaa sawa na kukumbuka mumewe hana nywele kichwani (ana kipara) na kuamuwa kurejea kwa mumewe.


source: radio one, nyepesi nyepesi

0 comments