Sunday, 19 May 2013

Hata Iweje Rais dikteta hakwepeki 2015

Na Nova Kambota,

....................Mwandishi anamtaja Julius Nyerere kuwa ni dikteta ambaye amefanana na Mkapa kwa upande wa usoni, amerandana na Mwinyi kwa nyuma huku akisema kuwa amefanana na Kikwete kwa upande wa ubavuni!

Haya ni madai ya kitoto yasiyo na mantiki yoyote, kwa kifupi mwandishi anataka kumfananisha Nyerere na Mwinyi, Mkapa na Kikwete, mbaya zaidi anataka kutuaminisha kuwa mpaka leo hii Tanzania bado inaendeshwa kwa mitazamo ya Nyerere, huu ni upotoshaji mkubwa, hivi nani hajui kuwa mawazo ya Nyerere yametupwa zamani?

Hivi wapi Nyerere alishabikia ubinafsishaji? Hivi udini ulikuwepo kipindi cha Nyerere? Mimi nadhani mwandishi hamtendei haki komredi Nyerere kwa kumfananisha na warithi wake ambao nathubutu kusema wametofautiana kwa mbali kabisa na mwamba huyo licha ya kwamba walitawala nchi moja na kukaa Ikulu ileile ya Magogoni.............fatilia zaidi uchambuzi huu wa kusisimua ulioandikwa na Nova Kambota bofya; www.novakambota.wordpress.com

0 comments