Saturday, 25 May 2013

Kutoka fb; visa vya mke na mume


Na Mzee Majuto, facebook.

Ukitaka kujua mwanamke sio ndugu yako soma hii hapa upate undani.
Jamaa karudi toka job mpole!
MKE: vipi leo mbona mapema na mpole?
MUME: ofisi yetu imeungua na watu wote wamekufa, MKE: ilikuwaje wewe ukapona?
MUME: nilikuwa chooni, jirani na ofisi najisaidia.
MKE: Loh masikini familia zao itakuw aje?
MUME: watalipwa milioni 100 kila mfiwa.
MKE KWA HASIRA: ona sasa na wewe kunya kunya kwako umetukosesha mihela..ungeenda kunya akhera...... Duuuuuuhhh

0 comments